Harvard Law Review

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harvard Law Review ni jarida la kisheria lenye kufuatilia habari za kisheria na maamuzi ya Mahakama za Marekani. Jarida hili huchapishwa na wanafunzi katika kitivo cha Sheria kwenye chuo Kikuu cha Harvard kila mwezi kuanzia Novemba hadi Juni.

Jarida hili lilichapishwa mara ya kwanza 15 Aprili 1887, na lina wahariri wakuu 14 wanaochaguliwa kila mwaka kutoka katika ujumla wa wanafunzi katika kitivo hicho cha sheria.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harvard Law Review kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.