Harry Stafford (mwanasoka)
Mandhari
Harry Stafford (Nantwich, Cheshire, 1869 – 1940) alikuwa mwanasoka wa Uingereza.
Stafford alichezea Southport Central na Crewe Alexandra kabla ya kujiunga na klabu ya Newton Heath (pia kama Manchester United F.C.) mnamo Machi 1896.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Harry Stafford (mwanasoka) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |