Nenda kwa yaliyomo

Harrison Ford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harrison Ford
Ford mnamo 2015
Ford mnamo 2015
Jina la kuzaliwa Harrison Ford
Alizaliwa 13 Julai 1942, Chicago, Illnois, Marekani
Jina lingine Dr. Henry Jones
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 1964 -
Ndoa Mary Marquardt (1964-1979)

Melissa Mathison (1983-2004) Calista Flockhart (2010-hadi leo)

Tovuti Rasmi Harrison Ford

Harrison Ford (amezaliwa Tar. 13 Julai 1942 Mjini Chicago, Illinois, Marekani) Ni muigizaji wa filamu kutoka nchini marekani. Anafahamika zaidi kwa ujasili wake kwa kuwa nahodha "Han Solo" katika mfululizo wa filamu ya 'Star Wars.
Na pia kuwa mtafiti wa vitendo, Yaani kila anachojaribu kukitafiti yeye huwa asomi tu bali mpaka akione chanzo chake, anafahamika kama Dr. Henry 'Indiana Jones' katika mfululizo wa filamu ya Indiana Jones. Ford pia amewahi kuwa nyota wa filamu nyingi tu za hali ya juu ikiwemo ile ya Air Force One na Fugitive ambazo pia zilimpa heshima kubwa na umaarufu pia mbali na zile za mwanzo zilizokuwa zinafahamika kama 'Indiana Jones'.

Maisha ya Mwanzo[hariri | hariri chanzo]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Filamu Alizoigiza[hariri | hariri chanzo]

Filamu
Mwaka Filamu Kama Maelezo
1966 Dead Heat on a Merry-Go-Round Bellhop
The Long Ride Home
1967 Luv Irate Motorist
Time for Killing Lt. Shaffer
1968 Journey to Shiloh Willie Bill Bearden
1970 Zabriskie Point Airport Worker
Getting Straight Jake
The Intruders Carl
1971 Dan Agosti Hewett Kipindi: "The Manufactured Man"
1973 American Graffiti Bob Falfa
1974 The Conversation Martin Stett
1975 Judgment: The Court Martial of Lieutenant William Calley Frank Crowder
1976 Dynasty Mark Blackwood
1977 The Possessed Paul Winjam
Star Wars Episode IV: A New Hope Han Solo
Heroes Ken Boyd
1978 Force 10 from Navarone Lieutenant Colonel Mike Barnsby
The Star Wars Holiday Special Han Solo
1979 Apocalypse Now Colonel Lucas
Hanover Street David Halloran
The Frisco Kid Tommy Lillard
More American Graffiti Bob Falfa
1980 Star Wars Episode V: The Empire Strikes Back Han Solo
1981 Raiders of the Lost Ark Indiana Jones Alishinda tuzo la Saturn Award for Best Actor
1982 Blade Runner Rick Deckard
1983 Star Wars Episode VI: Return of the Jedi Han Solo
1984 Indiana Jones and the Temple of Doom Indiana Jones
1985 Witness Det. Capt. John Book
1986 The Mosquito Coast Allie Fox
1987 Frantic Dr. Richard Walker
1988 Working Girl Jack Trainer
1989 Indiana Jones and the Last Crusade Indiana Jones
1990 Presumed Innocent Rusty Sabich
1991 Regarding Henry Henry Turner
1992 Patriot Games Jack Ryan
1993 The Fugitive Dr. Richard David Kimble
1994 Clear and Present Danger Jack Ryan
1995 Sabrina Linus Larabee
1997 The Devil's Own Tom O'Meara
Air Force One President James Marshall
1998 Six Days Seven Nights Quinn Harris Alishinda tuzo la People's Choice Award for Favorite Motion Picture Actor
1999 Random Hearts Sergeant William 'Dutch' Van Den Broeck Alishinda tuzo la People's Choice Award for Favorite Movie Star
2000 What Lies Beneath Dr. Norman Spencer
2002 K-19: The Widowmaker Alexei Vostrikov
2003 Hollywood Homicide Sgt. Joe Gavilan
2004 Water to Wine Jethro the Bus Driver
2006 Firewall Jack Stanfield
2008 Indiana Jones and the Kingdom of the Crystal Skull Indiana Jones
Dalai Lama Renaissance Narrator
2009 Crossing Over Max Brogan
Brüno
2010 Extraordinary Measures Dr. Robert Stonehill
Morning Glory Mike Pomeroy
2011 Cowboys & Aliens Colonel Dolarhyde
2013 Ender's Game Colonel Hyrum Graff
42 Branch Rickey
Paranoia Jack Goddard

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viuongo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harrison Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.