Harakati za haki za watoto
Mandhari
Harakati za Haki za Watoto ni vuguvugu la kihistoria na la kisasa linalojitolea kutambua, kupanua, na/au kudumisha haki za watoto duniani kote. Ilianza mwanzoni mwa karne iliyopita na imekuwa juhudi za mashirika ya serikali, vikundi vya utetezi, wasomi, wanasheria, wabunge, na majaji kuunda mfumo wa sheria na sera zinazoboresha na kulinda maisha ya watoto. Ingawa ufafanuzi wa kihistoria wa mtoto umetofautiana, Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Mtoto unasisitiza kuwa "Mtoto ni binadamu yeyote aliye chini ya umri wa miaka kumi na minane".
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |