Harakati za Mwanafunzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harakati za mwanafunzi ni shughuli zinazofanywa na Wanafunzi ili kuleta mabadiliko ya jamii, uchumi, siasa na mazingira. Pamoja na kujikita katika masuala ya kielimu, mitaala na michango ya kielimu, mikusanyiko ya wanafunzi imechangia kwa kiasi kikubwa katika matukio ya kisiasa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 한국인물사연구원 (2011). 기묘사화 : 핏빛 조선 4대 사화 세 번째 [Gimyosahwa: pitbit joseon 4dae sahwa se beonjjae / The Kimyo purge: third of bloody Joseon's four great literati purges] (kwa Korean). uk. 65. ISBN 978-8994125121.