Halima Rafat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Halima Rafat alikuwa muuguzi na mwanaharakati wa haki za wanawake wa Afghanistan. Alikuwa mmoja wa wauguzi wawili wa kwanza wa nchini Afghanistan, na alikuwa miongoni mwa kizazi cha waanzilishi wa Wanawake Wenye Taaluma wa Afghanistan[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Women's Welfare Association - Wikiwand". www.wikiwand.com. Iliwekwa mnamo 2022-03-23. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Halima Rafat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.