Nenda kwa yaliyomo

Hali ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hali ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania imekuwa ikiongezeka kila mwaka nchini [1] na kusababisha madhara mbalimbali kwa wahanga wa matukio hayo.

Matukio hayo ya ukatili yamekuwa na sababu mbalimbali kama vile mila na desturi duni, kukosekana kwa elimu na sababu nyingine. Katika ripoti ya Jarida la Afrika la mwaka 2022, ilionyesha kuwa asilimia 46 ya watu waliopo katika ndoa hufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]