Nenda kwa yaliyomo

Dawati la Jinsia Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dawati la Jinsia Tanzania ni kitengo maalumu ndani ya jeshi la polisi nchini Tanzania kinachoshughulikia kesi na matukio mbalimbali ya Ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto.

Lengo la dawati hilo, linalopatikana ndani ya vituo vya polisi, ni kutokomeza vitendo vya ukatili [1] katika jamii.

Kitengo hiki kina wataalamu kutoka jeshi la Polisi wenye kushughulika na matukio yanayotokea katika jamii.