Nenda kwa yaliyomo

Haki za wanawake mwaka 2014

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanaharakati wa Pakistani Malala Yousafzai alishiriki Tuzo ya Amani ya Nobel mnamo Desemba 2014. Alipigwa risasi Oktoba 2012 na Taliban kwa juhudi zake za kupata elimu kwa wasichana.[1]

2014 ilielezewa kuwa mwaka wa haki za wanawake, na magazeti kama vile The Guardian.Ilielezwa kuwa mwaka ambao sauti za wanawake zilipata uhalali na mamlaka zaidi.[2][3][4][5] Jarida la Time lilisema 2014 "huenda ulikawa mwaka bora zaidi kwa wanawake".

  1. "Women's rights in 2014", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-17, iliwekwa mnamo 2022-05-24
  2. "Women's rights in 2014", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-17, iliwekwa mnamo 2022-05-24
  3. "Women's rights in 2014", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-17, iliwekwa mnamo 2022-05-24
  4. "Women's rights in 2014", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-17, iliwekwa mnamo 2022-05-24
  5. "Women's rights in 2014", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-17, iliwekwa mnamo 2022-05-24