Haji Juma Sereweji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Haji Juma Sereweji (amezaliwa tar. 5 Februari 1948) ni mbunge wa jimbo la Mwanakwerekwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Haji Juma Sereweji (19 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.