Hailliote Sumney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hailliote Sumney
Amezaliwa
Kanada
Nchi Kanada
Kazi yake Mwigizaji
Cheo Mshawishi wa chapa

Hailliote Sumney ni mwigizaji wa Ghana mzaliwa wa Kanada, mshawishi wa chapa na mhusika katika runinga. Amewahoji watu mashuhuri kama vile mwigizaji Boris Kodjoe, Michael Blackson, Becca, Stonebwoy na wengine. Yeye ni balozi wa kike wa chapa ya viatu ya Yesu Segun yenye makao yake London akiwa na Stonebwoy, ambaye ni balozi wa kiume. Mnamo mwaka 2019 alichaguliwa kama mtangazaji wa zulia jekundu la 4Syte TV's BET Awards. [1][2][3][4]

Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Sumney alizaliwa nchini Kanada na Dr Kodjoe Sumnet na Dr. Akosuah Sumney lakini alihamia nchini Marekani akiwa na umri wa miaka miwili.[3][5] Sumney alijifunza fani ya uuguzi katika jiji la California na elimu yake ya juu katika chuo kikuu cha the University of California, Riverside katika jiji la California.[6][7]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ghanaian TV personality to host 2019 BET Awards red carpet. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-30.
  2. Quartey, Daniel (2019-06-25). 5 photos of Ghanaian TV star said to have hosted 2019 BET Awards red carpet (en).
  3. 3.0 3.1 Haillie, host of 2019 BET Awards red carpet.
  4. Online, Peace FM. Ghanaian TV Personality, Haillie Sumney Never Hosted The 2019 BET Awards Red Carpet – What Happened?.
  5. {{Cite web|url=http://beachfmonline.com/haillie-sumney-becomes-the-first-ghanaian-tv-personality-to-host-bet-red-carpet/%7Ctitle=HAILLIE SUMNEY BECOMES THE FIRST GHANAIAN TV PERSONALITY TO HOST BET RED CARPET.|website=BeachFM|language=en|access-date=2019-[[10-25}}
  6. Issahaku, Zeinat Erebong (2019-06-21). Ghanaian TV personality, Hailliote Sumney, to host 2019 BET Awards red carpet (en-US).
  7. Ghanaian TV personality to host 2019 BET Awards red carpet (en). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-26. Iliwekwa mnamo 2023-10-28.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hailliote Sumney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.