Haikou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Haikou
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi China
Jimbo Hainan
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 830,192
Tovuti:  www.haikou.gov.cn

Haikou (kwa Kichina: 海口) ni mji wa China. Ndiomji mkuu katika jimbo la Hainan.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, kuna wakazi wapatao 830,000 wanaoishi katika mji huu.

Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Haikou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.