Gyöngyi Gaal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gyöngyi Gaal mnamo 2013

Gyöngyi Krisztína Gaál (alizaliwa 26 Juni 1975 ) ni mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka nchini Hungaria.

Kazi ya uamuzi[hariri | hariri chanzo]

Gyöngyi Gaal alichezesha mechi yake ya kwanza ya kimataifa mwaka 2002 kati ya Romania na Croatia. [1]

Aliku miongoni mwa waamuzi wa katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2007, ambapo alichezesha mechi mbili za makundi, robo fainali na mchujo wa nafasi ya tatu. [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Referees – GAAL Gyoengyi". FIFA. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 July 2011. Iliwekwa mnamo 5 July 2011.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Referees – Top 100". WorldReferee.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 5 July 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Gyöngyi Gaal – Women World Cup 2007 China – Appearances as referee". worldfootball.net. Iliwekwa mnamo 5 July 2011.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gyöngyi Gaal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.