Nenda kwa yaliyomo

Guy-Elphège Anouman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Guy-Elphège Anouman
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUfaransa Hariri
Tarehe ya kuzaliwa19 Mei 1994, 13 Juni 1994 Hariri
Mahali alipozaliwaLa Garenne-Colombes Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKifaransa Hariri
Kaziathletics competitor Hariri
MchezoRiadha Hariri
Sports discipline competed insprinting Hariri

Guy-Elphège Anouman (alizaliwa 13 Juni 1994) ni mwanariadha nchini Ufaransa ambaye alibobea katika mbio za mita 100 na 200. Mwaka 2011, Amouman alikuwa bora katika mashindano ya vijana ulimwenguni katika mbio za ndani za mita 200.

Anouman alishiriki katika mbio za mita 200 katika Michezo ya Olimpiki ya Vijana huko Singapore mwaka 2010.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guy-Elphège Anouman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.