Gunung Dempo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
shamba la chai katika uwanda wa Mlima Dempo

Gunung Dempo ni mlima wenye kimo cha m 3,159 juu ya usawa wa bahari.

Uko Indonesia katika kisiwa cha Sumatra.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gunung Dempo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.