Gridi
Gridi au mistari gridi (kwa Kiingereza: grid au gridlines) inamaanisha mfululizo wa mistari inayopitana katika fani ya uchoraji. Gridi zinatumia kawaida ili kupanga na kuchora michoro.
Kwa maana tofauti neno linatumiwa kutaja gridi ya umeme.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).