Green Valley School (Kairo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Green Valley School ni Shule ya binafsi ya Kijerumani,Kiinereza na Kiarabu [1] inayopatikana katika eneo la mji wa Obour katika mjii mkuu wa Cairo, shule hii ilianzishwa mwaka 1998 nchini Misri ,ni shule inayotoa pia elimu ya awali kwa watoto wadogo [2] Ni shule inayofanya kazi kwa mashirikiano na na shule ya Zukunft schools, ya nchini Ujerumani .[3]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Green Valley School (Kairo) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.