Nenda kwa yaliyomo

Grand Theft Auto IV: The Lost and Damned

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grand Theft Auto IV: The Lost and Damned ni mchezo uliotengenezwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games kwa ajili ya Xbox 360, PlayStation 3 na Microsoft Windows.

Mchezo huu ulitolewa kwa mara ya kwanza kwa ajili ya Xbox 360 mnamo tarehe 17 Februari 2009 na kwa ajili ya PlayStation 3 na Microsoft Windows mnamo tarehe 13 Aprili 2010. Ni mchezo wa kumi na mbili katika mfululizo wa Grand Theft Auto.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto IV: The Lost and Damned kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.