Nenda kwa yaliyomo

Grand Theft Auto: Chinatown Wars

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Grand Theft Auto: Chinatown Wars ni mchezo uliotengenezwa na Rockstar Leeds kwa kushirikiana na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games.

Mchezo huu uliachiliwa mnamo tarehe 17 Machi 2009 kwa ajili ya Nintendo DS, tarehe 20 Oktoba 2009 kwa PlayStation Portable, tarehe 17 Januari 2010 (iPhone na iPod Touch), tarehe 9 Septemba 2010 (iPad) kwenye iOS na tarehe 18 Disemba 2014 kwa ajili ya vifaa vya Android na Fire OS.

Grand Theft Auto: Chinatown Wars ni mchezo wa kumi na tatu katika mfululizo wa Grand Theft Auto.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Grand Theft Auto: Chinatown Wars kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.