Goodluck Mrema
Mandhari
Goodluck Mrema (Goodluck Faustini Mrema; amezaliwa Dar es Salaam, Tanzania, Mei 6, 1995) ni bondia mahiri Mtanzania aliyekuwa bingwa anayeshikilia taji la Chama cha Ndondi Duniani Oceania Bantam. Urefu wake ni 5'2" (sm 157)
Goodluck anaishi Dar es Salaam, Tanzania.