Go-Kameyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Kameyama

Go-Kameyama (takriban 134710 Mei 1424) alikuwa mfalme mkuu wa 99 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hironari. Mwaka wa 1383 alimfuata Chokei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Oktoba 1392. Aliyemfuata ni Go-Komatsu.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Kameyama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.