Go-Horikawa wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Horikawa

Go-Horikawa (22 Machi, 121231 Agosti, 1234) alikuwa mfalme mkuu wa 86 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yutahito, na alikuwa mjukuu wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1221 alimfuata binamu yake Chukyo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1232. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Shijo.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Horikawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.