Go-Fukakusa wa Japani
Mandhari
Go-Fukakusa (28 Juni, 1243 – 17 Agosti, 1304) alikuwa mfalme mkuu wa 89 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hisahito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Go-Saga. Mwaka wa 1246 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu 1260. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Kameyama.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Go-Fukakusa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |