Nenda kwa yaliyomo

Gloria Macapagal Arroyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rais wa Ufilipino Gloria Macapagal Arroyo

Gloria Macapagal Arroyo (amezaliwa tar. 5 Aprili 1947) Pia anafamika kwa jina la ufupi kama G.M.A, ni rais wa 14 wa Ufilipino, Ambaye kwa sasa ndiye anayeongoza nchi ya Ufilipino.

Ni rais wa pili wa kike kuongoza nchi ya Ufilipino baada ya Corazon Aquino. ni binti wa rais wa zamani wa Ufilipino mzee Diosdado Macapagal. Kabla ya kuwa rais, mwanzoni alikuwa makamo wa rais wa Ufilipino.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Macapagal Arroyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.