Gloria Kamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Gloria Kamba (alizaliwa Julai 18) ni raia wa nchini Uganda ambaye alikuwa mtangazaji wa redio wa kwanza wa kipindi cha asubuhi cha 88.2 Sanyu FM cha wiki kiitwacho "The Early Riser" na cha Jumapili asubuhi "The Intimate Connection"[1] Anatambuliwa kama mmoja kati ya nyota wa kike katika redio nchini Uganda.[2]

Katika miaka ya 1980, alijulikana kama Gloria Nekesa akiwa katika Namasagali College.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-12-01. Iliwekwa mnamo 2021-05-26.
  2. joomlasupport. 15 years of Sanyu (en-gb).
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Kamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.