Gladys Bakubaku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ntombezanele Gladys Bakubaku-Vos (alizaliwa 6 Juni 1966) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini anayehudumu kama mjumbe wa bunge katika jimbo la Cape Magharibi tangu Mei, 2019. Alikuwa mshauri wa manispaa ya Stellenbosch ya serekali ndogo. Bakubaku Vos ni mjumbe wa chama cha Africa National Congress (ANC). Mai 5, 2020, Bakubaku-Vos alitangaza kuwa amepata virusi vya korona. [1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Gerber, Jan (5 May 2020). "Western Cape ANC MPL tests positive for Covid-19". News24. Retrieved 14 May 2020.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gladys Bakubaku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.