Giuseppe De Andrea
Mandhari
Giuseppe De Andrea (20 Aprili 1930 – 29 Juni 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki aliyezaliwa nchini Italia. Alitumikia kama mchungaji kwa miaka ishirini nchini Marekani na baadaye akahudumu kwa miaka ishirini na mitano katika huduma za kidiplomasia za Vatikani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Zufelt, Jerry (14 Julai 2016). "Archbishop Joseph A. De Andrea, former priest of diocese, Vatican diplomat, dies at 86" (PDF). The Catholic Accent: 2.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |