Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Tonucci

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kanzu ya mikono ya Giovanni Tonucci.

Giovanni Tonucci (alizaliwa Fano, Pesaro, Italia, 4 Desemba 1941) ni askofu mkuu wa Italia katika Kanisa Katoliki. Alifanya kazi katika utumishi wa kidiplomasia wa Vatikani kuanzia mwaka 1971 hadi alipopostaafu mwaka 2017.[1]

  1. "Ordinazione Episcopale di Dodici Nuovi Presuli" (kwa Kiitaliano). Libreria Editrice Vaticana. 6 Januari 1990. Iliwekwa mnamo 22 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.