Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Battaglin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giovanni Battaglin (alizaliwa 22 Julai 1951) ni mchezaji wa baiskeli wa kitaalamu wa barabarani kutoka Italia.

Kilele cha kazi yake ulikuwa ushindi wake wa jumla katika Giro d'Italia ya mwaka 1981. Pia alishinda Vuelta a España ya mwaka 1981.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Battaglin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.