Gigy Money

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gift Stanford
Majina mengine Gigy money
Kazi yake Mwanamuziki

Gigy money (jina lake kamili ni Gift Stanford; alizaliwa 16 Juni 1998) ni mwanamuziki wa kike wa kizazi kipya (Bongo Fleva).

Gigy ni mtoto wa pili katika familia ya Stanford, alisoma elimu ya msingi na elimu ya sekondari akamalizia Keko.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gigy Money kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.