Gicumbi ya kijani
Gicumbi ya kijani ni mradi ambao unajihusisha na kuimarisha uwezekano wa kupunguza athari zitokanazo na mazingira katika jamii za Rwanda ya Kaskazini, hususan wilaya ya Gicumbi[1] Ni mradi ambao ulianzishwa mnamo Octoba 26, 2019 na serikali ya Rwanda kupitia wizara ya mazingira na Rwanda Green Fund (FONERWA).
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Rwanda to launch major green growth investment to strengthen climate resilience in Gicumbi District (en-US). www.environment.gov.rw. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.