Gert Sibande

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Richard "Gert" Sibande (alizaliwa 1907 karibu na Ermelo, Mpumalanga, alikufa 1987) alikuwa mwanaharakati wa kisiasa wa Afrika Kusini.Alikuwa mmoja wa ANC walioshtakiwa pamoja kujibu mashtaka katika kesi ya uhaini ya 1956-1961 pamoja na Nelson Mandela na wengine 154.[1]

  1. https://web.archive.org/web/20090108042303/http://www.sahistory.org.za/pages/people/bios/sibande,g.htm