Nenda kwa yaliyomo

Geri Donnelly

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Geraldine "Geri" Donnelly (alizaliwa 30 Novemba, 1965) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu kutoka Kanada.Alicheza Kama kiungo, aliiwakilisha Kanada katika Kombe la Dunia la Wanawake la FIFA la mwaka 1995 na 1999, na alitajwa kuwa Mchezaji Bora wa Kanada wa mwaka 1996 na 1999.[1] [2]

  1. Mackin, Bob (17 Septemba 2003). "Girls got game". Vancouver Courier. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Oktoba 2003. Iliwekwa mnamo 1 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Pioneer Donnelly begins last competition", Canadian Soccer Association, 9 October 2009. Retrieved on 2024-11-30. Archived from the original on 2016-10-12. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Geri Donnelly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.