Nenda kwa yaliyomo

George W. Munroe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George W. Munroe (1911)

George W. Munroe (1857 - Januari 29, 1932) Alikua muigizaji na mchekeshaji wa Marekani aliyebobea katika uigaji kama wanawake[1]. Aliigiza katika kumbi za sinema za Marekani kuanzia miaka ya 1880 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1920. Alifanya maonyesho ya Broadway na Vaudeville. [2][3]

Maisha ya Zamani na Kazi[hariri | hariri chanzo]

George W. Munroe alizaliwa huko Philadelphia na kuanza kazi yake katika mji huo akiwa mwanachama wa Wheatley Dramatic Association. Alijiunga na kampuni ya mwigizaji George S. Knight (1850–1892), akifanya maonyesho yake ya kwanza kama Bridget, mwanamke wa Kiayalandi, ambapo maonyesho hayo yalifanyika katika Over the Garden Wall kwenye Chestnut Street Opera House (iliyojengwa 1870 kama ukumbi wa michezo wa Fox ya Marekani) mnamo Septemba 1, 1884.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Rowman & Littlefield", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-03-29, iliwekwa mnamo 2024-04-12
  2. "Cambridge University Press", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-11, iliwekwa mnamo 2024-04-12
  3. https://www.nytimes.com/1932/01/30/archives/george-i-monroe-actordiesat-70-once-star-of-my-aunt-bridget-was.html?searchResultPosition=1
  4. "The Philadelphia Inquirer", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-05, iliwekwa mnamo 2024-04-12
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George W. Munroe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.