George McGovern

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George McGovern (1972)

George Stanley McGovern (19 Julai, 192221 Oktoba, 2012) alikuwa mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia. Kuanzia 1963 hadi 1981 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la South Dakota. Mwaka wa 1972 aligombea urais lakini akashindwa na Richard Nixon.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George McGovern kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.