Nenda kwa yaliyomo

George Edwin King

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Edwin King

George Edwin King (8 Oktoba 18397 Mei 1901) alikuwa wakili na mwanasiasa wa Kanada, aliyepata kuwa waziri mkuu wa pili na wa nne wa New Brunswick, na jaji wa Mahakama Kuu ya Kanada.[1]

  1. "Goes to the Bar Above", The Ottawa Journal, 8 May 1901, p. 9. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Edwin King kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.