Nenda kwa yaliyomo

Georg Häfner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joseph Georg Simon Häfner (Würzburg, 19 Oktoba 1900Dachau, 20 Agosti 1942) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki kutoka Ujerumani na shahidi wa imani kutoka Jimbo la Würzburg.

Mnamo 15 Mei 2011, alitangazwa mwenye heri katika Kanisa kuu la Würzburg.[1]

  1. Frankfurter Allgemeine Zeitung GmbH. "Aktuelle Nachrichten online - FAZ.NET". faz.net. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.