Nenda kwa yaliyomo

Gaspara Stampa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Gaspara Stampa, 1738, na Daniel Antonio Bertoli/Felicitas Sartori. Mkusanyiko wa Chapa ya Achille Bertarelli, Castello Sforzesco, Milan.
Picha ya Gaspara Stampa, 1738, na Daniel Antonio Bertoli/Felicitas Sartori. Mkusanyiko wa Chapa ya Achille Bertarelli, Castello Sforzesco, Milan.

Gaspara Stampa (1523 - 23 Aprili 1554) alikuwa mtunzi wa mashairi wa Italia.

Anajulikana kama mshairi maarufu katika Renaissance ya Italia, na anajulikana na wengi kama mshairi mwanamke mkubwa zaidi wa nchini Italia.[1]

  1. Stampa, Gaspara (1994). Laura Anna Stortoni; Mary Prentice Lillie (whr.). Gaspara Stampa: Selected Poems. New York: Italica Press. ISBN 0934977372.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gaspara Stampa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.