Nenda kwa yaliyomo

Gary Lineker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Gary Lineker
Amezaliwa30 Novemba 1960
Kazi yakemchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uingereza

Gary Lineker (alizaliwa 30 Novemba 1960) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uingereza. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uingereza.

Lineker ameichezea timu ya taifa ya Uingereza tangu mwaka wa 1984. Lineker alicheza Uingereza katika mechi 80, akifunga mabao 48.[1]

[1]

Timu ya Taifa ya Uingereza
MwakaMechiMagoli
198410
198596
1986108
198779
1988103
198993
1990158
19911110
199281
Jumla8048
  1. 1 2 Gary Lineker at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gary Lineker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.