Gary Goldstone
Mandhari
Gary Alexander Goldstone (alizaliwa 24 Julai 1976 Durban), ni beki wa soka wa Afrika Kusini anaecheza klabu ya Bloemfontein Celtic katika ligi ya Premier Soccer League.[1]
- Vilabu alivyopita: Cherrians Football Club, Maritzburg United, AmaZulu, Ajax Cape Town, Kaizer Chiefs
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gary Goldstone". ABSA Premiership. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Oktoba 2011. Iliwekwa mnamo 2010-04-07.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gary Goldstone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |