Garoua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Garoua ni mji uliopo katika nchi ya Kamerun, mkoa wa Kaskazini. Ndio makao makuu ya mkoa.

Mwaka 2021 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 436,899 [1][2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Garoua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.