Gari soaking

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gari Soaking

Gari Soaking ni chakula maarufu cha Ghana kinachotengenezwa na gari (unga wa chakula unaotengenezwa kutokana na mizizi ya mmea wa muhogo). Kama jina linavyodokeza, hutengenezwa kwa kuchanganya gari kwenye maji au maziwa.[1][2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gari soaking kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.