Gao Yang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gao Yang (alizaliwa Machi 1, 1993) ni mwanariadha wa China aliyejikita kwenye Urushaji tufe.[1] Alimaliza katika nafasi ya tano kwenye Mashindano ya Ubingwa wa Dunia mwaka 2015 huko Beijing. Kwa kuongezea alishinda medali mbalimbali katika ngazi ya Bara na fedha kwenye mashindano ya  Ubingwa wa Vijana wa Dunia mwaka 2012.

Rekodi yake bora binafsi ya mchezo huu ni mita 19.20 nje (Neubrandenburg 2016) na mita 18.77 ndani ( Birmingham 2018).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Yang GAO | Profile | World Athletics. www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-16.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gao Yang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.