Galilaya (Uganda)
Mandhari
Galilaya ni mji uliopo katika wilaya ya Kayunga, mkoa wa kati wa Uganda. Wenyeji wa mji huo hutamka jina lake, Galiraya.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Galilaya ipo upande wa kaskazini katika wilaya hiyo ya Kayunga, mwishoni kabisa mwa barabara ya Kayunga-Galilaya, umbali wa takribani kilomita 83 kwa barabara kutoka makao makuu ya wilaya ya Kayunga.[1] Umbali wa Galilaya kutoka Kampala ni kilomita 145 kwa barabara.[2] Majiranukta ya Galilaya ni 1°22'12.0"Kas, 32°48'54.0"Mas (Latitudo:1.3700; Longitudo:32.8150).[3]
Muhtasari
[hariri | hariri chanzo]Galilaya ni makao makuu ya kaunti-ndogo ya Galilaya, moja ya kaunti-ndogo nne za kaunti ya Bbaale, iliyopo wilayani Kayunga. Mji wa Galilaya upo karibu na mahala ambapo Mto Naili unaingia Ziwa Kyoga.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Map Showing Kayunga And Galiraya With Distance Marker". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Estimated Road Distance Between Kampala And Galilaya With Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Google maps
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Galilaya (Uganda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |