Bbaale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya eneo la Uganda
majira nukta (1 ° 05'51.0 "N, 32 ° 53'12.0" E (Latitudo: 1.097500; Longitudo: 32.886667))

Bbaale ni mji uliopo Wilaya ya Kayunga nchini Uganda ambalo ni eneo la makao makuu ya Kaunti ya Bbaale.

Mahali ilipo[hariri | hariri chanzo]

Bbaale ipo takriban kilomita 53 sawa na maili 33 kwa barabara kutokea kaskazini mwa Kayunga ambao ndio mji mkubwa katika Wilaya ya Kayunga na eneo la makao makuu ya wilaya, pia ni takriban kilomita 16 sawa na mali 9.9 kaskazini magharibi mwa Namasagali katika Wilaya ya Kamuli kuvuka Mto Nile. [1]. Inapatikana kwa majira nukta (1 ° 05'51.0 "N, 32 ° 53'12.0" E (Latitudo: 1.097500; Longitudo: 32.886667)).[2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Straight Line Distance Between Bbaale And Namasagali With Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 10 February 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. https://www.google.com/maps/place/1%C2%B005'51.0%22N+32%C2%B053'12.0%22E/@1.0974164,32.8883428,17z/data=!4m2!3m1!1s0x0:0x0%7C title=Location of Bbaale Town At Google Maps}}