Gabriela Gajanová

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gabriela Gajanová (alizaliwa 12 Oktoba 1999) ni mkimbiaji wa umbali wa kati wa Slovakia aliyebobea kwenye mita 800.[1] Alishinda medali ya shaba kwenye michuano ya Ulaya ya chini ya miaka 20 mwaka 2017.

Ubora wake[hariri | hariri chanzo]

Nje

·        Mita 400  – 54.40 (Prague 2019)

·        Mita 600  – 1:36.23 (Budapest 2013)

·        Mita 800  – 2:00.58 (Prague 2019)

·        Mita 1000  – 2:41.58 (Brno 2019)

Ndani

·        Mita 800  – 2:19.10 (Bratislava 2014)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]