Gabi Fernandez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gabi akiwa na Atletico Madrid.

Gabriel Fernández Arenas (matamshi ya Kihispania: [ɡaβɾjel feɾnandeθ aɾenas]; alizaliwa 10 Julai 1983), anayejulikana kama Gabi, alikuwa mchezaji wa soka wa Hispania ambaye alicheza katika klabu ya Atletico Madrid F.C na sasa anachezea katika klabu ya Qatari Al Sadd SChuko Saudi Arabia kama kiungo mkabaji.

Alicheza michezo 429 ya La Liga, alikusanya jumla ya ushindi wa mechi 402 na magoli yake 66. Gabi alizaliwa huko Madrid Hispania, yeye ni bidhaa ya mfumo wa vijana wa Atletico Madrid.

Baada ya kukopwa katika klabu nyingine katika mji mkuu, Getafe CF, alikusanya maonyesho 52 na timu hiyo mwaka 2005 hadi 2007, alifunga mabao 12.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabi Fernandez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.