Future

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
FUTURE

Nayvadius DeMun Wilburn ambye anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Future (alizaliwa tarehe 20 Novemba 1983) ni mwimbaji, mwandishi, mtayarishaji wa rekodi na mshindi wa Tuzo la Grammy[1] wa Marekani.

Alizaliwa na kukulia huko Atlanta, jimboni Georgia. Alianza kushiriki katika muziki kama sehemu ya ushirikiano wa familia ya Dungeon, ambako aliitwa "Future".

Baada ya kumaliza mfululizo wa mixtapes kati ya mwaka 2010 na 2011, Baadaye alisaini mkataba mkubwa na lebo iitwayo Epic Records.Mwezi Aprili 2012 alitoa albamu iitwayo Pluto. Mwezi Aprili 2014 alitoa albamu nyingine iitwayo Honest.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu za studio[hariri | hariri chanzo]

Kandamseto[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Future kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.