Fundo (mtandao)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mafundo mbalimbali.

Katika utarakilishi, fundo (kwa Kiingereza: Node) ni kituo cha ugawaji kati ya vifaa mbalimbali.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).