Fujairah
Fujairah (kwa Kiarabu: الفجيرة) ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Oman. Peke yake inaundwa na milima kwa kiasi kikubwa.
Mtawala wake ni Sheikh Hamad bin Mohammed Al Sharqi.
Utemi una wakazi 225,360 (2016[2]) katika eneo la km² 1,166.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Fujairah travel guide kutoka Wikisafiri
- Fujairah's Only Business Directory & Tourism Agency
- Fujairah In 3D Archived 2013-02-05 at Archive.today
- Fujairah Tourism Bureau
- Fujairah Industry Directory Archived 20 Agosti 2018 at the Wayback Machine.
- Fujairah EU Portal
- Fujairah Municipality Archived 4 Januari 2013 at the Wayback Machine.
- Fujairah Police
- Fujairah Higher Colleges – About Fujairah
Magazeti ya Falme za Kiarabu[hariri | hariri chanzo]
- Gulf News
- Khaleej Times
- Emirates Today
- 7 Days Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- Emirates Evening Post Archived 7 Januari 2007 at the Wayback Machine.
- Gulf Today Archived 24 Agosti 2007 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Fujairah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |